Polisi wavamia ofisi za shirika la Action Aid International Guest Writer September 21, 2017 0 Polisi nchini Uganda imevamia ofisi za shirikia la Action Aid International iliyopo Kasanga nje ya mji mkuu wa nchi hiyo... Read More
Waandamanaji Watawanywa na Polisi nchini Uganda Guest Writer September 21, 2017 0 Polisi nchini Uganda wamewatawanya waandamanaji wanaopinga kuondolewa katika katiba kipengele cha ukomo wa muda wa rais katika mji wa Lira... Read More
Rais Magufuli Aagiza Ujenzi wa Ukuta Mgodini Guest Writer September 20, 2017September 24, 2017 0 Rais wa Tanzania John Magufuli ametoa amri ya kujengwa kwa ukuta ambao utakuwa umezunguka eneo la mgodi wa Tanzanite, Simanjiro,... Read More
Majina ya watanzania waliofariki katika ajili nchini Uganda yatajwa Guest Writer September 19, 2017 0 Polisi nchini Uganda hatimae wametoa orodha ya majina ya raia 13 wa Tanzania waliokufa katika ajali gari iliyotokea katika mji... Read More
Gazeti la MwanaHalisi lapigwa marufuku nchini Tanzania Guest Writer September 19, 2017September 24, 2017 0 Serikali ya Tanzania imesitisha uchapishaji na usambazaji wa gazeti la kila wiki la MwanaHalisi kwa kipindi cha miezi 24 kuanzia... MwanaHalisi yapigwa marufuku nchini Tanzania Read More
Afya ya Tsvangirai iko imara, yasema MDC Guest Writer September 18, 2017 0 Chama cha upinzani nchini Zimbabwe cha Movement for Democratic Change (MDC) kimesema afya ya rais wa chama hicho Morgan Tsvangirai,... Tsvangirai Read More